Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time.
Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.
Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza. Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao. Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa. Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi. Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa. Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari. Meza ya wazazi wa Levina Mtei. Wageni waalikwa. Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi. Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...!
Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa. Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...!
Wakwe wakiserebuka ukumbini.
Tabasamu kutoka kwa baadhi ya wanakamati wa harusi ya Mwessa.
Neno toka kwa wazazi wa bwana harusi. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto (kushoto) akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo. Wageni waalikwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments: