Nyomi lililofika uwanjani kushuhudia Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwajibika jukwaani pamoja wacheza shoo wake wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby akiwa sambamba na wacheza shoo wake wakiwapagawisha wakazi wa Mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Weusi: Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Jijini Arusha wakiwapagawisha wakazi wa Kahama wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay akiwapa kitu roho inapenda (burudani) wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay na MwanaFA wakishambulia jukwaa kwa pamoja wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay na MwanaFA wakishambulia jukwaa kwa staili ya cheza cheza bila kukunja goti wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwapa akiwachezesha bila kukunja goti wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini
Msanii wa muziki wa dansi, Christian Bella akitoa burudani kwa wakazi wa Kahama wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Masanii wa Kundi la Jambo Squad toka Jijini Arusha wakiwapagawisha wakazi wa Kahama wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi Juni 7, 2014. Tamasha la hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni ya tatu kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: