Safari ndo imeiva: Washindi wa mpira wa mezani, Eric Ducan Lissa (Wa kwanza kushoto) na Ntoli Mwaikombo wakiwa na mizigo yao kabla kukaguliwa uwanjani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakijiandaa kwa safari ya Ibiza, Hispania kuangalia 'Live Screen ya fainali za kombe la mabingwa Ulaya (UEFA) kwenye sehemu maalum iliyotengwa na Heineken kwa ajili ya watu maalum. Eric alitabiri ushindi wa Atlectico Madrid dhidi ya Real Madrid.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: