Meneja wa Kiwanda cha Saruji Tanga (TCCL), Mhandisi Ben Lema (wa tatu kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni 12.8 kwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Hafsa Mtasiwa iliyotolewa na TCCL kusaidia ujenzi wa vyumba vya maabara vya shule za sekondari, nyumba za walimu, waganga pamoja na mabweni ya wanafunzi wilayani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni wafanyakazi wa Saruji na kutoka Pangani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: