Leo majira ya asubuhi nimetumiwa kipande cha mahubiri ya Mchungaji () anayesema hakuna ugonjwa wa DENGUE, haya ndio maneno yake katika mahubiri yake..... (Anasema ni biashara za watu, watu wanasema hayo wanawalipa watu waseme wameugua ugonjwa wa DENGUE lakini hakuna mtu aliyeugua ugonjwa wa DENGUE, niili mafungu yatoke serikalini ya dharura kwaajili ya ugonjwa usiokuwepo..... narudia tena haupo niishu imetengenezwa na wachache wanatafuta pesa serikalini araka iliitoke haraka wapate pesa.

Isipokua kuna viongozi wa chache serikalini nasema watambaaji msikie,kuna viongozi wachache serikalini walio na kiu ya pesa wamewalipa watu pesa ohoo DENGU DENGU) Mwisho wa kunuku.

Msikilize mwenyewe
kwenye mahubiri yake hapo chini kwa hisani ya Uncle Jimmy.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: