Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktioba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam
Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu
Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: