Mama Tunu Pinda aakiangalia Mafuta ya ubuyu yaliyo tengenezwa na Rose Mtafikoro ambaye ni mjasiriamali kutoka Mkoa wa Dodoma, Mama ambaye ameshiriki maonyesho ya kinana mama yaliyoandaliwa na shirika la kazi duniani tawi la Tanzania. Maonyesho hayo yalifungwa na Mama Pinda katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha na Chris Mfinanga.
Mama Tunu Pinda akikabidhi cheti kwa Betty Matarimo ambaye ameshiriki maonyeho ya wajasiriamali wanawake ambayo yameandaliwa na shirika la kazi dunia (ILO) pamoja na MOWE, katikati ni Mratibu wa Kitaifa, Noreen Toroka program ya kuendeleza ujasiriamali kwa wanawake.
Mratibu wa Kitaifa, Noreen Toroka program ya kuendeleza ujasiriamali kwa wanawake, shirika la kazi duniani akiwa anonyesha za wadi ya saa ya ukutani ambayo amekabidhiwa na Mgeni Rasmi Mama Tunu Pinda kama ishara ya kutambua mchango wa ILO pamoja na MOWE katika kumsaidia mwanamke kuondokana na umasikini kushotokwa mama Pinda ni mwakilishi kutoka wizara ya viwanda na biashara Dr Consolata Ishebabi maonyesho hayo yamefungwa na mamaTunu pinda katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: