Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Selcom Wireless Tanzania, Meneja Miradi wa Selcom, Gallus Runyeta (katikati) akitoa maelezo kuhusu shughuli zinazofanywa na Selcom. (kushoto) ni Meneja Masoko na Muendesha Biashara, Juma Mgori. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Selcom Wireless Tanzania, Meneja Miradi wa Selcom, Gallus Runyeta (katikati) akitoa maelezo kuhusu shughuli zinazofanywa na Selcom. (wa pili kushoto) ni Meneja Masoko na Muendesha Biashara, Juma Mgori na Mhandisi wa Software, Godfrey Kiapinga.
Toa Maoni Yako:
0 comments: