Kikao cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya TFF kimempa likizo Katibu Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika Desemba na watamlipa stahili zake. Kikao hicho chini ya Rais Jamal Malinzi, kimeamua kwamba Ofisa Habari Boniface Wambura atakaimu nafasi ya Angetile kuanzia leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: