Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) imeanza raundi ya 12 leo (Oktoba 31, 2013) kwa Simba kuvutwa shati na Kagera Sugar na kufanya matokeo ya 1-1 katika mechi iliyofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nayo Yanga itashuka uwanjani kesho Novemba Mosi mwaka huu katika mechi nyingine ya ligi hiyo dhidi ya JKT Ruvu itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nayo Yanga itashuka uwanjani kesho Novemba Mosi mwaka huu katika mechi nyingine ya ligi hiyo dhidi ya JKT Ruvu itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: