![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYXST65GESP1ADZC2yjqVJ2LtwA1RKkK7SmFM8wseTD69fPkuiEX3wlUeHdsC2ucV5ns6hpfTOGoDP75Gd3bC-GUt03r08lltdz2amqmYHsQdKkHbdQ9VBcBOHS4OBa_1KfURx0P0LPcjc/s1600/IMG-20131030-WA0033.jpg)
Hapa ni mwendooooo watuacheeee tulingeeee....
Mtuacheeeeeeeeeeeeeeee... kwa raha zetu
Mpaka chini, mpaka chiniiiii...
...Jacob na Jackrine wakiingia kwa nderemo na vificho
Meza ya wazazi na Wajomba wa bwana harusi.
Mzee John Malecela na Mkewe Anna Kilango nao walikuwepo.
Baba na mama wazaa chema (kijana) wakifuatilia.
Bwana Harusi Jacob Yona na Bibi Harusi Jackrine Ngongoseke wakiwa katika nyuso za furaha.
Bwana Harusi Jacob Yona na Bibi Harusi Jackrine Ngongoseke wakiwa pamoja na wasimamizi wao.
Watuacheeeeeeee... Jackrine na msimamizi wake.
Wapambe wa maharusi wakiwa kati nyuso za furaha.
Furaha zilitanda kila meza.
Showlove kwa bwana na bibi Lukwaro.
Toa Maoni Yako:
0 comments: