Haji mohamed wa Fufuni (kushoto) akigombea mpira na Ismail Khamis.
Mohamed Ali wa Fufuni akipiga mpira juu ya uso wa wa mshambuliaji wa Polisi, Abdalla Omar (kulia).
Abdalla Omar wa Polisi (kushoto) akijaribu kumpita mlinzi wa Fufuni,Haji Abdalla.
 Halid Nassoro wa Fufuni (kushoto) akiwania mpira na Mohamed Mwita wa Polisi (kulia).
 Katikati ni Abdalla Mwalimu akipapatuana na Ismail Suma wa Polisi kuwania mpira. Ligi kuu ya grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung. Polisi ilishinda bao 2 - 0
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: