![]() |
Omari Kimweri |
BONDIA MTANZANIA
Omari
Kimweri 'Lion Boy' anaefanya shughuli zake Deer Park, Victoria, nchini Australia anatarajia kuwa mtanzania wa kwanza kupanda uringoni November 30 kugombea ubingwa wa Dunia unaotambuliwa na WBC uzito wa kg47.5 minimum weight
Mpambano huo utakaopigwa nchi ya China November 30 na bingwa wa dunia wa uzito huo nchini china xiong zhao zhong ni bingwa wa dunia WBC minimum weight ambaye anashikilia taji hilo kwa sasa katika uzito huo
Kimweri anakuwa
mtanzania wa kwanza kuwania taji kubwa kabisa Duniani akitokea nchini
Austalia uku sapoti kubwa akitegemea kutoka Tanzani ambapo alipo zaliwa
![]() |
Omari Kimweri and Randy petalcoria |
na kigezo cha kufanya
apate pambano hilo kubwa ni kutokana na rekodi yake pamoja na kutakiwa
mtu ambaye anatokea bara la Afrika ambapo kula imemdondokea bondia Omari
Kimweri kwa mara ya kwanza mtanzania huyo ataonekana Dunia nzima
akijaribu kuwania ubingwa wa WBC
Ambapo ni kiu ya
mabondia wengi duniani kumiliki mikanda mikubwa ya kimataifa Kimweri
mwenye rekodi ya kucheza michezo 16 ambapo ameshinda michezo 13 na
kuchezea kichapo michezo 3 na mpinzani wake
Xiong
Zhao Zhong amecheza michezo 26 akishinda 21 kupigwa 4 na kutoka droo moja
Mabondia hawo wote vijana wenye
umri mdogo wa miaka 31 wate wawili wakitofautiana mwezi mmoja tu katika
kuzalia mpambano huo umekuwa gumzo katika nchi tatu kwa sasa kwani kila
mmoja anajiandaa kivyake
Kimweri kwa sasa anaefanya mazoezi makari uku akipewa sparng na bondia Randy petalcoria wa Philippines ambaye ni bingwa wa light fly weight
Omari
Kimweri kwa sasa yupo katika mazoezi mazito ya kujiandaa na mpambano
huo huku akitegemea zaidi duwa za watanzania kwa kuwa ushindi wake ni
ushindi wa watanzania wote Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Bondia
Omari Kimweri.
Toa Maoni Yako:
0 comments: