Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mrs. Monica Mwamunyange
akisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano
wa 7 wa mapitio ya utendaji wa sekta ya Uchukuzi kabla ya kufunga jana
jioni. Kushoto kwa NAibu Katibu Mkuu ni Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya
Udhitbi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Bw. David Mziray.
Mwenyekiti wa washirika wa maendeleo, Dk. Yazuru Ozeki, akitoa hotuba
yake kwa niaba ya washirika wa maendeleo walioshiriki kwenye mkutano wa 7
wa mapitio ya Sekta ya Uchukuzi,uliofanyika kwa siku mbili jijini Dar
es Salaam.
Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mrs. Monica Mwamunyange akitoa hotuba ya
kufunga Mkutano wa 7 wa mapitio ya utendaji wa sekta ya Uchukuzi
uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili. Hotuba hiyo ilisomwa
kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: