Vikosi vya timu za Coco Beach na Ligula Fc vya Mtwara vikikabidhiwa jezi tayari kuanza pambano la kugombania Mbuzi lililoandaliwa na “Tigo Smile Tour” huu ni msafara utakaopita mikoa 23 na kata 204 huku ikizindua minara 209 mipya ambayo kampuni ya Tigo imewekeza nchi nzima.



Vikosi vya timu za Coco Beach na Ligula Fc mkoani Mtwara vikijiandaa kuanza mechi ya kugombania mbuzi wakati wa msafara wa “Tigo Smile Tour” mkoani Mtwara.
 
 Kikundi cha sarakasi cha Spider kikitoa burudani ya aina yake wakati msafara wa “Tigo Smile Tour” Bukoba mjini, huu ni msafara utakaopita mikoa 23 na kata 204 huku ikizindua minara 209 mipya ambayo kampuni ya Tigo imewekeza nchi nzima.
 Msanii wa kikundi cha Spider akipita juu ya kamba kwa umahiri mkubwa kuwaonyesha wakazi wa Bukoba Mjini, hii ni moja kati ya burudani zitolewazo wakati wa msafara wa “Tigo Smile Tour”.
 Wasanii wa Kikundi cha sanaa cha sarakasi kikionyesha shoo jinsi ya kuruka na baiskeli wakati wa msafara wa “Tigo Smile Tour” eneo la soko la Mwanjelwa mkoani Mbeya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: