Jiji la Dar es Salaam limebarikiwa kuwa na majengo ya kuvutia hasa unapokuwa juu ya vikwangua anga, unaweza kuona bandari yetu na kila eneo kwa ufasaha kabisa. Angali mwenyewe jinsi jijini lilivyobarikiwa. Haki zote zimehifadhiwa, picha ni mali yangu hauruhusuwi kuchukua kwa matumizi yako bila kuwasiliana nami. Nikiripoti kutoka ndani ya kikwangua anga kimoja cha mjini Dar es Salaam kinachoonyesha madhari  nzuri, ni mimi Cathbert Angelo wa Kajunason Blog.
 Muonekano mzuri wa mji wetu, hapa ni katikati ya mji wa Dar es Salaam.
 Upande wa baharini...
 Jiji lazidi kung'aa zaidi, huu ni upande wa uelekeo wa mji wa Kigamboni.
Unapokuwa juu, unaona hivi kwa chini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: