Yule aliyekua kuokoka maarufu kama Anti Asu leo Alikuja katika kipindi cha MITIKISIKO YA PWANI na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa. Tazama hapa alivyokuwa mwanzo katika picha alizoleta watu watazame wakati akiwa shoga kabisa. ..
Hapa baada ya kuokoka... Picha kwa hisani ya Dida.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: