Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kwa wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha nchi 17 barani Afrika, wakipokea vifaa hivyo ni makaptani wa timu hizo Athanas Mdam na Stumai Athumani. wa pili kushoto ni kocha wa timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars Abel Mtweve
Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi viatu vya kuchezea mpira kamptaini wa timu ya kike Stumai Athumani wakati Airtel ilipogawa vifaa kwa timu itakayosafiri kwenda kwenye michuano ya Airtel Rising stars Nchini Nigeria, Michauno hiyo itashirikisha nchi 17 barani Afrika, wakishuhudia ni kikosi cha timu ya Airtel Rising stars Tanzania
Baadhi ya wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria wakijaribu viatu mara baada ya kukabithiwa vifaa vya michezo na Airtel kwaajili ya miachuano ya Airtel Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha nchi 17 barani Afrika.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: