j3: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza   Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye  Ikulu, Dar Es Salaam, leo Agosti 10, 2013
j4: j3: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi (wa tatu kushoto, mbele)  na ujumbe wake pamoja na Waziri wa Uchukuzi  Dkt.  Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia),  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Dr Mary Nagu (wa pili kulia), Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda (wa pili kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome  Sijaona  (wa kwanza kushoto) alipokutana na kufanya mazungumzo naye  Ikulu, Dar Es Salaam, leo Agosti 10, 2013
j7 na j6: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazunguzo na  Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi alipokutana na kufanya mazungumzo naye  Ikulu, Dar Es Salaam, leo Agosti 10, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na  Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi alipokutana na kufanya mazungumzo naye  Ikulu, Dar Es Salaam, leo Agosti 10, 2013

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: