Nje ya banda la Radio 5, katika maonesho ya 20 ya Kilimo na Mifugo (Nane Nane) yanayofanyika Viwanja vya Nane Nane Njiro jijini Arusha.
 Mwandishi wa habari na Mtangazaji mwandamizi wa Radio 5, David Rwenyegira akiwa mtamboni katika viwanja vya Nane Nane Arusha, anawakaribisha sana kutembelea bandani kwao na kujifunza mambo mbali mbali katika upashanaji habari.
 Kazini.
Mwandishi wa habari na Mtangazaji mwandamizi wa Radio 5, David Rwenyegira akiongea na mteja juu ya masuala mbali mbali yahusuyo radio.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: