Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa Kibaha Njuweni pamoja na mke wake Mama Mfinanga wamewaomba Watanzania kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zao za kidini, kisiasa kwani kufanya hivyo mwenyezi Mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo hapa nchini kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi. Tuswali na kuheshimu mamlaka za serikali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yanafundisha amani, upendo na utii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: