Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mzee James Mapalala baada ya kumuapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi (kushoto) na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam.leo
Toa Maoni Yako:
0 comments: