Kampuni ya Clouds Media Group mwishoni mwa wiki iliandaa Ftari ya
pamoja kwa wafanyakazi wake na baadhi ya wadau mbalimbali,maeneo ya
Sinza-jijini Dar Salaam.Pichani kushoto ni  Mkurugenzi wa vipindi na utafiti,Ruge Mutahaba pamoja na Meneja Vipi wa Clouds FM Sebastian Maganga wakiongoza wageni waalikwa mbalimbali kupata ftari.Pichani chini ni baadhi ya wafanyakazi wa
kampuni hiyo na wadau wengine waalikwa wakijipakulia ftari safi kabisa.


Sehemu ya Wadau wakiendelea kupata ftari.Picha na Jiachie Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: