Blogger Fredy Anthony ambaye ni Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor Mara baada kupata shahada yake ya pili (Master of Business administration - Multimedia Marketing) katika Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia
Blogger Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.
Blogger Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: