Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimfariji mjane wa Balozi Habib Suleiman Bibi Moza Habib, wakati
alipokwenda nyumbani kwa Marehemu Kilimani mjini Zanzibar kwa ajili ya
kutoa mkono wa pole kwa wafiwa leo Mei 04- 2013. Kushoto ni Mama Zakia
Bilal na kulia Mama Asha Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shinyanga kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili leo Mei 04-2013. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments: