Daladala zikihangaika kupishana.
 Foleni ikiwa ya kutosha.
 Wadau wakiwa wamekwama hawajui la kufanya...kutokana na foleni kubwa.
Kutokana na njia ya Mtoni Kijichi Daraja lake kuwa katika matengenezo njia pekee ya kuelekea huko kwa sasa ni ile ya Mbagala Kuu inaitwa njia ya Ng'ombe na ina mlima mkali sana ambapo daladala hupanda kwa kutegewa jiwe hivyo kusababisha foleni kubwa sana. 
Picha zote na Imani Ntila.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: