Diwani wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba
akimkabidhi vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola A, Bi.Joyce
Lwanji kutoka kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu 1000 vilivyotolewa na kampuni ya Tigo katika kuchangia elimu kwenye shule
hiyo, kulia ni meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola A wilayani Kahama, Bi.Joyce
Lwanji akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wake mara baada ya
kupokea vitabu toka kampuni ya simu za mikononi Tigo jumla ya vitabu 1000 vilivyotolewa na kampuini hiyo.
Diwani wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba akimkabidhi vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola B, Bw.Raphael Kirega kutoka kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu 1000 vilivyotolewa na kampuni ya Tigo katika kuchangia elimu kwenye shule hiyo, kulia ni meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments: