Picha iliyotumika imetoka kwenye maktaba yetu...ni bomu lililolupuka gongo la Mboto.
---
TAARIFA ZILIZOTUFIKI ZINASEMA KUWA BOMU LIMELIPUKA KATIKA KANISA KATOLIKI PAROKIA MPYA YA OLASITI ILIYOKUWA INAZINDULIWA LEO JIJINI ARUSHA MUDA HUU.
BOMU HILO LIMELIPUKA WAKATI WAUMINI WA KANISA HILO LA KATOLIKI WAKIENDELEA NA SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA NA MPAKA SASA HAIJAWEZA KUJULIKANA IDADI KAMILI YA WATU WALIOJERUHIWA LAKINI TAARIFA ZINASEMA KUWA KUNA BAADHI YA WATU WAMEJERUHIWA NA KUWAHISHWA HOSPITALI KWAAJILI YA MATIBABU NA MPAKA MUDA HUU HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA BOMU HILO KULIPUKA.
KWA HABARI KAMILI, ENDELEA KUFUATILIA KAJUNASON BLOG.
Toa Maoni Yako:
0 comments: