Mtuhumiwa namba moja wa mashitaka 24 ya kuua bila kukusudia Raza Hussein Ladha (kulia) na watuhumiwa wenzake kumi wakisubiri kupandishwa kizimbani, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Wiki iliyopita Jeshi la Polisi liliwakamata watu 11 na leo wamefikishwa mahakamani akiwemo Bw. Raza Hussein Ladha ambaye ni mmiliki wa jengo ambapo kibali kilikuwa kinaonyesha alitakiwa kujenga ghorofa 9 ila yeye alijenga zikafika ghorofa 16, mkandarasi na viongozi wa Manispaa ya Ilala ya jijini Dar es Salaam kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 na kuua watu 36 wengine 17 kujeruhiwa vibaya, ingawa mpaka sasa maiti 9 hazijazikwa kutokana na kukosekana kwa ndugu ambao hawajazitambua. Picha inaonyesha jengo likiwa limeporomoka.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: