Marafiki wakiwa katika nyuso za furaha ndani ya kiota cha maraha cha Igo Lounge kilichopo Sinza Mapambano. Ndani ya kuota cha Igo Lounge utaweza kukutana na marafiki na kupata burudani safi pamoja na chakula kizuri. Picha hizi zimepigwa weekendi ya Jumamosi 20 Aprili 2013.
Tunawakilisha.
Marafiki zangu, Reuben na Chingy nao waliwakilisha wakitokea pande za Tanga.
 
James ambaye ni mwenyeji wa Igo Lounge akiwa na mmoja ya wageni waliofiaka katika kiota cha maraha.
Maua ya kutosha...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: