Wachezaji wa Timu ya Tanzania House of Talent kwa sasa wapo katika mazoezi makali kujiandaa kwa mpambano mkali dhidi ya Timu ya Clouds Media Group unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo katika viwanja vya Tanganyika Perckas, Kawe jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: