Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mh. Charles Bishuli akimkabidhi vitabu mtoto Angel Noel wa shule ya msingi Mrubona villivyotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kama sehemu ya mchango wao katika sekta ya elimu Tanzania.
 Wanafunzi wa shule ya msingi Mrubona wakiwa wamebeba vitabu vilivyotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kama sehemu ya mchango wao katika sekta ya elimu Tanzania.
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Nyaminkunga wilaya Buhigwe Bw. Hamisi Bunoge akipokea vitabu toka kwa mkuu wa wilaya ya Buhigwe Mh.Charles Bishuli.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: