Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto
akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Shabani Mhamila 'Star Boy'
katika kambi ya Ilala iliyopo Amana CCM jana Sta Boy anajiandaa na
mpambano wake na Yusuph Jibaba utakaofanyika siku ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
Bondia Shabani
Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' mabondia wote wanajiandaa kwa ajili ya
mashindano yatakayofanyika siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA
Sabasaba.
Shabani Mhamila 'Star Boy' Ibrahimu Class 'King Class Mawe akioneshana ujuzi wa kutupiana makonde na Shabani Mhamila 'Star Boy' Bondia
Shabani Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana
makonde na Chalo Issa wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya
ngumi Ilala Star Boy ana jiandaa na mpambano wake na Yusuph Jibaba
uatakaofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba. Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Shabani Mhamila 'Star
Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abuu Mtambwe
wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya ngumi Ilala Star Boy
ana jiandaa na mpambano wake na Yusuph Jibaba uatakaofanyika mei mosi
katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Toa Maoni Yako:
0 comments: