Mtoto Ivan wa Msanii wa hip hop nchini Tanzania, leo amepata sakramenti ya Ubatizo mjini Tanga. Akidhibitisha baba yake alisema kuwa leo tarehe 1/4/2013 mwanae amepata Ubatizo.

"Namshukuru Mungu neno lako limetimia, namtakia mwanangu maisha marefu, Hope til 2030 kumbukumbu hizi utazikuta".
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: