Mshindi wa Promosheni ya Tigo smartcard Bi. Herriet Makulukulu
mkazi wa Mbezi Beach akipokea mfano wa tiketi ya kwenda kushuhudia
pambano la mpira ligi kuu ya Uingereza EPL kati ya Arsenal FC na
Manchester United litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu kwenye uwanja
wa Emirate, toka kwa Meneja Chapa ya Tigo Bw.William Mpinga.
Meneja wa huduma za burudani za Tigo, Bw. Husni Seif akimkabidhi
zawadi ya Simu mshindi wa Promosheni ya Burudika na Tigo Bi.Neema
Sayduke mkazi wa Ilala jijini Dar Es Salaam.
Meneja wa huduma za burudani za Tigo, Bw.Husni Seif akimkabidhi zawadi ya Simu mshindi wa Promosheni ya Burudika na Tigo Bw.Boniface Shimba mkazi wa Goba jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: