Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: