Dereva wa pikipiki akiwa hoi baada ya kugongwa na gari katika makutano ya barabara ya Alli Hasani Mwinyi. Ajali hiyo imetokea mchana wa leo ambapo dereva hiyo aliumia vibaya na kukimbizwa hospitali.
Gari lililogonga... mwendesha pikipiki.
Pikipiki ikiwa hoi imedondoshwa pembeni.
Foleni ikiwa imekaza baada ya kutokea kwa ajali.
Toa Maoni Yako:
0 comments: