Hongera sana rafiki yangu Reuben Lubwaza kwa kupata mtoto wa kiume Rockleen Reuben. Mungu awabariki sana na awape maisha marefu wewe na mwanao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

6 comments:

  1. yeye na mtoto wake tu, umesahau mama wa mtoto pia awe na maisha marefu awalee wote wawili

    ReplyDelete
  2. yeye na mtoto wake tu, umesahau mama wa mtoto pia awe na maisha marefu awalee wote wawili

    ReplyDelete
  3. mbona umemsahau mama aliyewaletea mtoto huyo??Mungu ampe na mama maisha marefu....

    ReplyDelete