Muda huu kuna vurugu kubwa zinaendelea baina ya Waislamu na Wakristo huko TUNDUMA chanzo kikiwa kuchinja ambapo mpaka sasa magari yapatayo nane yameshachomwa moto na msikiti mmoja.

HABARI ZAIDI ZITAWAJIA PUNDE.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: