Masanii  maarufu kwa vichekesho Masele  wa kundi la vituko shoo toka Dar es salaam akitoa burudani kwa wakazi wa Tanga  wakati wa Tamasha maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel yatosha katika viwanja vya Tangamano mkoani Tanga.
Umati wa wakazi wa Tanga wamejitokeza kushuhudia burudani na kuzindua rasmi huduma ya Airtel yatosha mkoani Tanga katika viwanja vya Tangamano mkoani humo.
Masanii Erick wa kundi vituko shoo toka Dar es salaam akitoa burudani kwa wakati wa Tamasha maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel ya Airtel yatosha katika viwanja vya Tangamano mkoani Tanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: