Rafiki yetu Joyce Mahila (pichani) anasikitika kutangaza kuibiwa pochi yake maeneo ya Tabata Magengeni siku ya Jumamosi saa 5 usiku.
Vitu vilivyoibiwa ni simu mbili, Samsung Gallax II nyeupe na Nokia x2- 01 nyekundu, document zake muhimu, kwenye wallet alikuwa na pesa.
Pia kadi za bank KCB, NMB, SCB, EXIM BANK pamoja na NSSF Card ikiwemo form ya madai (claim form) ambazo alitakiwa kuzirudisha kwa vile ni mali ya shirika hilo. Na vitu vingine kwenye Pichi (handbag) kama vipodozi, upande wa kanga, biblia takatifu ndogo na diary ndogo na karatasi.
Katika pochi hiyo alikuwa ameweka vibali vyake vya kusafiria (travel document) Passport.
Joyce Mahila alikuwa anaomba yeyote ambaye ataweza kupata document zake NSSF, Passport amtaarifu. Zawadi nono itatolewa.
MAWASILIANO ZAIDI APIGE NAMBA 0787 999 774
Asante best kwa hii taarifa.Mungu azidi kukubariki
ReplyDelete