Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakirushwa kichura leo Katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam walipokamatwa kwa tuhuma za kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe kwa dhamana.

Askari Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika pilikapilika za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie kwa dhamana Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, Dar es Salaam


Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano hayo wakipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa.

Mmoja wa maaskari wakifunga kamba iliwaandamanaji wasiingie Makao Makuu ya jeshi hilo,

Askari wa kudhibiti ujambazi wakiwa kwenye doria kusaidia kudhibiti maandamano.

7 Baadhi ya wafuasi wa Shekh Ponda wakiwa wamekamatwa kwa tuhuma za kufanya maadamano bila kibali cha polisi.
8Wafuasi hao wa Shekh Ponda wakipandishwa kwenye gari la polisi mara baada ya kukamatwa katika maandamano hayo. Zoezi la kuwakamata watuhumiwa hao na kuwapeleka kituo cha Polisi liliendeshwa chini ya ulinzi mkali.10Magari mbalimbali yakiwa yamebeba askari Polisi yakipita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam.

Picha Fullshangwe Blog/Lukaza Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: