1Mkurugenzi wa Bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba pamoja na wacheza shoo wa bendi hiyo Kushoto ni Queen Vero na kulia ni Frola Bamboocha wakati wa onyesho la Siku ya Wapendanao (Valentine Day) lililofanyika kwenye ukumbi wa Trinit Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu, Katika Onyesho hilo pia bendi ya Kalunde imetimiza miaka 7 toka ianzishwa na kusherehekea mwaka wake wa saba wa utendaji wa kazi.
2Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi (kushoto) Debora Nyangi Meneja wa bendi hiyo pamoja na Mwapwani mwimbaji wa bendi ya Kalunde kwa pamoja wakikata keki kuashiria sherehe za kutimiza miaka saba toka bendi hiyo ianzishwe.
3 
Meneja wa Bendi la Kalude, Debora Nyangi akimlisha keki Mkurugenzi wa bendi hiyo Deo Mwanambilimbi katika onyesho la Siku ya Wapendanao (Valentine Day) na sherehe za utimiza miaka 7 ya kuanzishwa kwa bendi hiyo.
5 
Waimbaji wa bendi hiyo.
11Mashabiki wa bendi ya Kalunde wakijimwaga stejini.
13Mnenguaji Frola Bamboocha akijimwaga na mmoja wa mashabiki wa bendi ya kalunde.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: