---
Picha/Habari na Fransic Godwin, Iringa.
Kaduma anasema kuwa alishuhudia gari hilo RAV 4 hiyo ikija kwa mwendo wa kasi na ndipo alipoamua kusimama ili kushuhudia na ghafla alijikuta akifunikwa na RAV 4 hiyo.
Alisema kuwa RAV 4 hiyo iliruka ukingo la barabara ambao una michongoma na kujengwa kwa sementi na kutua juu ya Taxi yake na kushindwa kuendelea na safari na kuwa iwapo asingesimama kuona mtiti wa gari hilo basi dereva huyo wa RAV4 angekufa kwa kugonga nyumba iliyopo jirani ambayo ina hoteli ya Hast Tast .
Hata hivyo amesema hana mchumbuko wowote na kuwa dereva huyo wa RAV 4 kwa sasa anashikiliwa na polisi baada ya kushindwa kukimbia kutokana na pombe
pombe mbaya jaman! m naamin akifanikiwa kutoka polc bas pombe ataacha!
ReplyDelete