Wakazi  wa  kijiji  cha Makonde wilaya ya  Ludewa  wakinywa  pombe kwa  kupokezana katika lita mojo, hii ni kawaida  sana kwa  mikoa ya  kusini kunywa  pombe kwa  kupokezana japo ni hatari  sana kiafya
Mama mtu akinywa.
Mama akimnywesha  mtoto  wake pombe ya kienyeji kama inavyoonekana katika picha. Hii ni hatari sana hebu tujiulize kama kuna magonjwa ya kuambukizana hapa inakuwaje???? Picha na Francis Godwin Blog, Iringa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: