Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na
tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu
linaangamia kwa kukosa maarifa.
Hivi upungufu wa nguvu
za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu
bora zenye uwezo wa kutungisha mimba, au kutosimama kwa uume.
Takwimu
zilizopo zinaonyesha kuwa asilimia 60 ya wanandoa nchini wanakabiliwa
tatizo hili. Kwa hiyo, mabango ya waganga yaliyopo barabarani
hayajapunguza kabisa tatizo hilo.
Hawa watu wanatibu
watu au majini? Hapo ndipo kiini cha makala haya. Sababu kubwa ya
ongezeko la wenye matatizo haya ni kwamba dawa nyingi zinazodaiwa
kuponya tatizo hili hazina viwango vya kuitwa dawa, bali ni vichocheo tu
kwani kinachopigiwa chapuo huwa ni kumudu tendo kitandani na si nguvu
asilia.
Waganga wengi wameelekeza nguvu zao huko na ni hapo ndipo janga hili la kitaifa linapoota mizizi.
Ukweli
ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume hauondolewi kwa dawa za kuchochea
nguvu wakati wa tendo. Hizi zina madhara makubwa na mara kadhaa
husababisha vifo kwa wanamume wengi wakiwa ‘guest’ na vimada wao kwani
hulipua moyo.
Ni lazima kiini cha tatizo hili
kichunguzwe na tiba stahiki ipatikane. Kinyume cha hapo, janga hili
linaweza kugeuka na kuwa dubwana kubwa la kutumaliza.
Matatizo
ya nguvu za kiume huchangiwa na kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa wa
kisukari, kuvaa nguo za kubana sana, mionzi ya simu, kompyuta na
mengineyo. Pia dawa za kuua wadudu huleta tatizo hili kwani zina
viambata sumu viitwavyo ‘estrogen’, matatizo ya kisaikolojia, kupiga
punyeto kwa muda mrefu na kutumia vyakula vyenye kemikali.
Utafiti
unasema kuna uhusiano mkubwa sana kati ya upungufu wa nguvu za kiume na
kuwa na sumu mwilini zinazotokana na vyakula vyenye kemikali
tunavyobugia kwa kupenda au kutokupenda.
Ni kutokana na
utafiti huo ndipo dawa bora yenye uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini
kwa muda mfupi ikagunduliwa. Hii ikiwekwa kwenye kinywaji chochote
chenye kemikali, mara moja hutenganisha sumu iliyomo humo.
Dawa
hii pia huleta nguvu za kudumu za kiume, hujenga afya na kuleta nguvu
asilia. Hutatua tatizo la nguvu za kiume huku ukiondoa pia tatizo la
ugumba na ni vizuri wenye matatizo kama hayo wakatumia vyakula vya
protini hasa ya mimea kwani hurutubisha mbegu.
Kuna
aina 2 ya vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na kubaini kuwa ni moja
ya vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume na havina madhara
katika engezeko la nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa
kuongeza nguvu za kiume kiasili ni:
1. TANGAWIZI
-
Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume,
unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi,
mchana na jioni pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa
kiasili kwa kutumia habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi
yenyewe. JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU: Chukua tangawizi na kitunguu
saumu vitwange kisha vichanganye na asali pamoja na unga wa habat soda
na uwe unakunywa mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja
kutwa mara 3 kwa muda wa wiki moja na utaona mabadiliko.
2. TIKITI MAJI:
-Chakula
kingine kinachosaidia katika upande wa kuongeza nguvu za kiume ni
tunda la Tikiti Maji, unaweza ukachukua tikiti lako ukalikata na
kutengeneza juice ya Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze
Juice hata lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia tunda hili
hata kila siku kwani linasaidia sana kwa wenye matatizo ya nguvu za
kiume.
nn maana ya habat soda
ReplyDeleteTufahamishe! Habat nin?.
ReplyDeleteEty uume wang ni mdogo sana nawezaje kuongeza au ni vitu gn nikitumia vitansaidia visivyokua na mazara baadae
DeleteNi darasa la ukwel, vp inaweza ikaxaidia hata kwa wale ambao misuli ya uume imelegea, yan haipo strong sana
ReplyDeleteNenda katika maduka yadawazakiarabu, nautapata hiyo habatsoda
ReplyDeleteNenda kwwnye maduka yadawa zakiarabu, utapata habatsoda
ReplyDeleteHabari zenu nilikua naomba hiko kipimo cha asali na tangawizi na habbat sauda unaweka kiasi gani hivo vitu katika asali?asanteni
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteje tikiti maji msuli ya uume yaweza kaza
ReplyDeletemm natumia dawa za haba soda na nakula tikiti na natumia tangawizi bdo nakuwa sina hamu na ndoa yangu kuna wakati nakuwa na nguvu lakini nikiikaribia na kuwa haiba nguvu nifanye nn hata nipate hamu na ndoa yangu?
ReplyDeletePole ila kwa ushauri wangu jaribu kufanya mazoezi (michezo) mana hata jamaa yangu ilimtokea.
ReplyDeletemimi tatzo langu ni kwamba ninapofanya mapenz natumia nguvu nyingi mpaka namwaga muda mwingine simwagi kabisa jambo linalohatarisha ndoa yangu hebu nisaidie hapo
ReplyDeleteYan tatizo lako ndo langu kama umepata jib nitumie sms nam nijue nin shida no.0759726983
Deletekwan hakuna mbadala wa habat soda
ReplyDeleteKitunguu swaumu na tangawiz na asali unachanganya kwenye maji ya moto au ya baridi
ReplyDeletenimependa somoo
ReplyDeleteHuo unga wa habat soda unapatikanaje
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMwanamke anapata maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa tatizo mini au dawa no IPI?
ReplyDeleteNimependa mada
ReplyDeleteushaur mzur sana huo
ReplyDeleteSomo zuri
ReplyDeleteDt kanyas mtaalamu wa tiba asili toka tanga anazo dawa mbalimbali kwa kutibu kila aina ya ugonjwa anazo dawa asili za nguvu za kiume..pia anazo za kurefusha uume na kunenepesha uume....anatibu UTI..UGUMBA....KUZIBUA MIRIJA..MTAFUTE KUPITIA 0764839091....DAWA ZOTE NI ZA ASILI
ReplyDeleteSasa Kama mm niko dar ntaipataje?
DeleteInshaaaallah kwa darasa zuri
ReplyDeleteIko vizuri hiyo
ReplyDeleteIko vizuri hiyo
ReplyDeleteIko vyema mkubwa nimeipenda sana.
ReplyDeleteSafi
ReplyDeleteDuh hatari jamani kumbe tatizo hill ni kubwa eee
ReplyDeleteNzur
ReplyDelete