Mwanaharakati Novatus Mutoka kutoka Mkoani Dodomaakionyesha kitabu alichoandika mbele yaa waandishi wa habari (hawapo picha) leo mkoani Dodoma wakati akitambulisha kitabu chake kinachoitwa "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" ambapo pia alielezea lengo la yeye kuandika kitabu hiko.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: