Mhariri wa Michezo wa gazeti la Tanzania Daima, Tullo Chambo (kushoto), akitoa maelezo kwa wanariadha wa mkoa wa Tabora, walipofanya ziara katika ofisi za gazeti hili jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo ilishiriki mashindano ya taifa ya riadha yaliyomalizika kwenye Uwanja wa Taifa juzi, ambayo ilishika nafasi ya nane kati ya mikoa 23.
 Wachezaji wa timu ya Riadha ya Mkoa wa Tabora wakiangalia picha za ufunguzi wa mashindano ya riadhaa zilizochapishwa katika gazeti la Tanzania Daima
 Mpiga Picha Mkuu wa Tanzania Daima, Joseph Senga (kulia) akisalimiana na viongozi walioambatana na timu hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: