Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika Mhe Eng Christopher Chiza akikabidhi mkasi mara tu baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonnyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mjini Mbeya.
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini Mbeya.
 Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
 Wanafunzi wa shule mbali mbali nao wakiwa wanawahi maonesho ya nane nane yaliyo funguliwa rasmi hapo jana.

 Moja ya watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT.
 Wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao wakati wa maonesho hayo.
TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo na banda lao linaonekana likiwa limependeza.

Picha zote na-Mbeya yetu Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: