Global Fusion Music & Arts Inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Charlton House Hapa London. 

Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts. Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga. 

Asanteni, 

URBAN PULSE CREATIVE.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: